Matonya na Tundaman wameingia kwenye vita vya maneno. Ugomvi huo
umeanza baada ya Tundaman kudai kuwa alimtungia wimbo Matonya kwenye
album yake ya Vailet.
Akiongea kwenye 255 ya XXL kupitia Clouds FM jana, Matonya alikanusha
taarifa hiyo na kwamba Tundaman hana uwezo wa kumtungia wimbo kwakuwa
uimbaji wao upo tofauti kabisa.
“Nilikuwa naenda na Tunda sehemu zote ninazoenda,
↧