MBUNGE wa Bariadi Magharibi, Mtemi Andrew Chenge, jana ameonyesha
utemi wake mbele ya Tume ya Maadili ya Utumishi wa Umma, baada ya kusema
haiwezi kumjadili kwa sababu kuna kesi mahakamani.
Alisema kuna zuio la Mahakama Kuu ambalo limevitaka vyombo vyote vya
Serikali kutojadili suala la miamala ya Akaunti ya Tegeta Escrow hadi
kesi ya msingi itakapoamuliwa.
Tume hiyo inamtuhumu
↧