Hapa kwetu Tanzania habari ya
kubambakiziana kesi ni kama mtindo. Mara nyingi matendo haya yamekuwa
yakifanywa na watu wenye uwezo kifedha
dhidi ya wasio na fedha pia kati ya maofisa wa polisi na
raia.
Mtu kwasababu ana pesa au cheo anaweza kuamua kumfungulia yeyote
mashtaka. Watu
wengi wako magerezani kwa kubambikizwa kesi, hili wala sio siri tena.
Sisemi
walio mahabusu, hao
↧