"BODA BODA NI SERA YA CCM KUSAIDIA VIJANA KUKABILIANA NA CHANGAMOTO YA AJIRA...
WAZIRI Mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa, amesema usafiri wa pikipiki maarufu kama bodaboda ni sera ya Chama cha Mapinduzi (CCM) ya kusaidia kukabiliana na tatizo la ajira kwa vijana.Akizungumza katika...
View ArticleMWANAUME AKATWA MAPANGA AKIDAIWA KUCHUKUA MKE WA MTU HUKO TABORA
Ramadhani Mahanga ambaye amenusurika kuuawa baada ya kukatwakatwa mapanga na kijana mwenzake anayefahamika kwa jina la Juma Hamisi ambaye alidai anatembea na mkewe na hivyo kuchukua uamuzi wa...
View ArticleBINTI AOZA MKONO BAADA YA KUANGUKA KATIKA BAISKELI....MADAKTARI WAMESHINDWA...
Janeth Nicholaus (25)mkazi wa Rwanzari Manispaa ya Tabora akionesha mkono wake wa kulia ukiwa tayari umeanza kuoza baada ya kupata ajali ya baiskeli maarufu daladala wakati akitokea nyumbani kwenda...
View ArticleWAPENZI WADONDOKA NA KUFA WAKATI WAKIFANYA MAPENZI DIRISHANI
Wapenzi wameanguka na kufa baada ya dirisha walipokuwa wakifanyia mapenzi kufunguka ghafla nchini China. Wawili hao wanasemekana kudondoka kutoka kwenye dirisha la jengo moja la makazi kwenye jiji la...
View ArticleKAMERA ZA JUMBA LA BIG BROTHER ZAMUANIKA POKELLO WA ZIMBABWE AKIWA MTUPU ....
<!-- adsense --> Mshiriki wa Zimbabwe ( POKELLO ) katika shindano la Big Brother Africa amejukuta akiumbuka tena baada ya kamera za jumba hilo kumuanika akiwa mtupu kama...
View ArticleLOWASSA AMTAKA OBAMA ASIZUNGUMZIE MAMBO YA USHOGA NA NDOA ZA JINSIA MOJA...
Mwenyekiti wa Kamati ya Mambo yaNje na Ushirikiano wa Kimataifa, Edward Lowassa, amemtahadhalisha kujiepusha na kauli za kuunga mkono ushoga. Lowassa ambaye pia ni Mbunge wa Monduli, ameliambia...
View ArticleOFISI YA CCM WILAYA YA MBINGA YACHOMWA MOTO
Katibu wa chama cha Mapinduzi wilaya ya Mbinga Anastasia Amasi akionyesha sehemu iliyoanzia moto kuwaka na kukamata pazia. Kama unavyoona katika picha hapo ni ndani ya ofisi baada ya moto kuwaka...
View ArticleKATIBU WA CHADEMA WILAYA YA MAKETE ATUPWA JELA MIEZI 9 KWA KOSA LA KUTOTII...
Mahakama ya mwanzo Makete mjini wilayani Makete mkoani Njombe imemuhukumu katibu wa chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) wilaya hiyo Bw Godfrey Mahenge (63) kwenda jela miezi 9 kwa kosa la...
View ArticleDENTI WA KIKE APEWA KICHAPO CHA MBWA MWITU BAADA YA WAZAZI WAKE KUMNASA AKIWA...
Mwanafunzi mmoja amefumaniwa katika nyumba moja ya wageni (guest house) hapo jana, tarehe 29/6/2013 majira ya saa nane mchana katika eneo la Yombo Vituka jijini Dar es salaam.Hata hivyo mfumaniwa...
View ArticleWATANZANIA 60 WAKAMATWA AFRIKA KUSINI WAKATI WA ZIARA YA OBAMA
Watanzania 60 wamekamatwa Afrika Kusini kutokana na maandalizi yaliofanyika nchini humo ya kumpokea Rais Barack Obama wa Marekani. Rais Obama aliwasili Afrika Kuisini wiki iliyopita kwa ziara ya...
View ArticleGEORGE BUSH NA MKEWE KUTUA NCHINI KESHO
RAIS mstaafu wa Marekani, George W. Bush na mkewe, Laura wanatarajiwa kesho kuwa nchini kuhutubia kongamano linalojadili wajibu wa wake wa marais katika kuinua wanawake duniani. Kuwasili kwa Bush, ni...
View ArticleWAGHANA WAMLAANI NANDO WA TANZANIA KWA KUZINI NA DEMU WAO ( SELLY) NDANI YA...
Wiki iliyopita wapenzi Nando wa Tanzania na Selly wa Ghana waliucheza ule mchezo wa kikubwa katika Big Brother ‘The Chase’ inayoendelea, na inasemekana baada ya Ghana na Afrika kwa ujumla...
View ArticleMAANDALIZI YA KUMPOKEA OBAMA YAKAMILIKA...HIZI NI TASWIRA ZA IKULU LEO ASUBUHI
Taswira mbalimbali zinazoonesha maandalizi ya mapokezi makubwa ya Rais wa Marekani Barack Obama atapowasili Ikulu jijini Dar es salaam mchana huu. Rais Jakaya Mrisho Kikwete kama ilivyo kawaida yake...
View ArticleJESHI LA WANANCHI WA TANZANIA LAKANUSHA KUHUSUKIA NA VITENDO VYA UBAKAJI HUKO...
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limepokea taarifa kwamba waandishi wa Habari kadhaa wamepelekwa Mtwara kwenda kumhoji msichana mmoja kwa madai ya kubakwa na wananjeshi wa JWTZ.JWTZ...
View ArticleMAKAMU WA RAIS KENYA ADAI KENYA INA MARAFIKI WENGI TOFAUTI NA MAREKANI NA...
NAIBU wa Rais Bw William Ruto, jana alivunja kimya chake kuhusu hatua ya rais wa Marekani Barack Obama kutozuru humu nchini kwa kusema hatua hiyo haina madhara yoyote kwa Kenya. Huku akiongea katika...
View ArticleOBAMA AMEKWISHATUA NCHINI TANZANIA
Rais wa 44 wa Marekanai, Barrack Obama, ametua nchini Tanzania kwa mara ya kwanza muda huu. Rais Jakaya Mrisho Kikwete yupo katika Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere kwa ajili ya kumpokea mgeni wake...
View ArticleVIDEO YA RAIS OBAMA AKIWASILI KWENYE UWANJA WA NDEGE WA JK NYERERE
Rais wa Marekani Barack Obama mchana wa leo amewasili nchini tayari kwa ziara yake ya leo na kesho jijini Dar es Salaam. Rais huyo aliyeongozana na mkewe Michelle na wanae wa kike wawili Malia na Sasha...
View ArticleTUJIKUMBUSHE MAMBO MACHACHE YANAYOTENDEKA KUHUSU OBAMA AMBAYE TAYARI YUPO...
Obama akiwa na mwenyeji wake Rais wa Tanzania Jakaya Kikwete Rais wa Marekani Barack Obama amewasili nchini Tanzania leo Jumatatu kwa zara ya siku mbili, ikiwa ni kituo chake cha mwisho cha ziara yake...
View ArticleMKE WA OBAMA ATEMBELEA WAMA FOUNDATION NA KUKUTANA NA MAMA SALMA KIKWETE...
Mke wa Rais wa Markani mama Michelle Barack Obama akiwasili katika ofisi za Wanawake na Maendeleo WAMA jioni hii wakati alipotembelea katika ofisi hiyo na kuwa na mazungumzo na mwenyeji wake...
View Article