Watanzania
60 wamekamatwa Afrika Kusini kutokana na maandalizi yaliofanyika nchini
humo ya kumpokea Rais Barack Obama wa Marekani.
Rais Obama aliwasili Afrika Kuisini wiki iliyopita kwa ziara ya siku tatu akitokea Senegal. Watu
hao wamekamatwa baada ya kudaiwa kuishi kinyume cha sheria Afrika
Kusini.
Baada ya Watanzania hao kutiwa mbaroni na vyombo vya usalama
wamehifadhiwa
↧