RAIS mstaafu wa Marekani, George W. Bush na mkewe, Laura wanatarajiwa
kesho kuwa nchini kuhutubia kongamano linalojadili wajibu wa wake wa
marais katika kuinua wanawake duniani.
Kuwasili kwa Bush, ni mwendelezo wa wiki hii Jiji la Dar es Salaam
kuwa katika pilikapilika za kupokea ugeni wa watu maarufu. Kongamano
hilo limeandaliwa na Taasisi ya George Bush na litafanyika kesho na
↧