Wiki iliyopita wapenzi Nando wa Tanzania na Selly wa Ghana waliucheza ule mchezo wa kikubwa katika Big Brother ‘The Chase’
inayoendelea, na inasemekana baada ya Ghana na Afrika kwa ujumla
kushuhudia mechi hiyo ya kirafiki watu wa karibu na mpenzi wa Selly
wamemshauri ampige kibuti.
Wote tunafahamu kwamba washiriki wote wa BBA wana
maisha yao nje ya Big Brother na inawezekana kila
↧