Taswira mbalimbali zinazoonesha maandalizi ya mapokezi makubwa ya Rais
wa Marekani Barack Obama atapowasili Ikulu jijini Dar es salaam mchana
huu.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete kama ilivyo kawaida yake amepita kila
mahali kuangalia kwamba mambo yanaenda vizuri, ikiwa ni pamoja na
kusaliamiana na makundi ya wananchi wa Dar es salaam walioko katika
lango kuu la Mashariki.
↧