Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ)
limepokea taarifa kwamba waandishi wa Habari kadhaa wamepelekwa Mtwara
kwenda kumhoji msichana mmoja kwa madai ya kubakwa na wananjeshi wa
JWTZ.JWTZ linapenda kuwafahamisha wananchi
kuwa endapo taarifa hizo zitatangazwa kwenye baadhi ya vyombo vya Habari
wazipuuze kwani hazina ukweli wowote zaidi ya kuwa ni za upotoshaji.Msichana
huyo
↧