NAIBU
wa Rais Bw William Ruto, jana alivunja kimya chake kuhusu hatua ya
rais wa Marekani Barack Obama kutozuru humu nchini kwa kusema hatua
hiyo haina madhara yoyote kwa Kenya.
Huku akiongea
katika kanisa la Katoliki la St Gabriel Bahati, kaunti ya Nakuru, Bw
Ruto alisema nchi hii ina 'marafiki’ wengine wengi duniani ambao inaweza
kushirikiana nao huku akiongezea kuwa
↧