Mke
wa Rais wa Markani mama Michelle Barack Obama akiwasili katika ofisi za
Wanawake na Maendeleo WAMA jioni hii wakati alipotembelea katika ofisi
hiyo na kuwa na mazungumzo na mwenyeji wake Mwenyekiti wa WAMA Mama
Salma Kikwete katika makao makuu ya taaisis hiyo leo...
Rais Barack Obama
na Mke wake Michelle Obama wako katika ziara ya siku mbili ya kikazi
nchini Tanzania wakiongozana
↧