Obama akiwa na mwenyeji wake Rais wa Tanzania Jakaya Kikwete
Rais
wa Marekani Barack Obama amewasili nchini Tanzania leo Jumatatu kwa
zara ya siku mbili, ikiwa ni kituo chake cha mwisho cha ziara yake
barani Afrika akitokea nchini Afrika Kusini.
Obama
ambaye ameambatana na mkewe Michelle Obama amepokelewa na mwenyeji wake
rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Salma Kikwete
↧