Rais wa Marekani Barack Obama mchana wa leo amewasili nchini tayari kwa
ziara yake ya leo na kesho jijini Dar es Salaam. Rais huyo aliyeongozana
na mkewe Michelle na wanae wa kike wawili Malia na Sasha amepokelewa na
mwenyeji wake Rais Jakaya Kikwete kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa
wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere<!-- adsense -->
↧