WAZIRI
Mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa, amesema usafiri wa pikipiki
maarufu kama bodaboda ni sera ya Chama cha Mapinduzi (CCM) ya kusaidia
kukabiliana na tatizo la ajira kwa vijana.Akizungumza katika
haraambee na uzinduzi wa mfuko wa waendesha pikipiki maarufu mkoani
Arusha, Lowassa alisema sera hiyo ni ya kuwakomboa vijana.Alisema kuwa kitendo cha wafanyabishara wa Arusha
↧