Mwenyekiti wa Kamati ya Mambo yaNje na Ushirikiano wa Kimataifa, Edward
Lowassa, amemtahadhalisha kujiepusha na kauli za kuunga mkono ushoga.
Lowassa ambaye pia ni Mbunge wa Monduli, ameliambia NIPASHE Jumapili
ofisini kwake jijini hapa jana kuwa ushoga na hai za ndoa kwa watu wa
jinsia moja vinaweza `kuiharibu’ ziara yake hapa nchini.
Mapema wiki hii, Rais Obama alikaririwa akizungumzia
↧