LIVE VIDEO: MKUTANO KATI YA OBAMA NA WAANDISHI WA HABARI IKULU
Mkutano kati ya Rais wa Marekani Barack Obama na waandishi wa habari unaofanyika hivi sasa ndani ya Ikulu jijini Dar es Salaam Video streaming by Ustream <!-- adsense -->
View ArticleMMILIKI WA FACEBOOK NA WAFANYAKAZI WAKE WASHEREHEKEA KUPITISHWA KWA SHERIA YA...
Mmiliki wa mtandao wa kijamii Facebook CEO Mark Zuckerberg amejiunga na wafanyakazi wa kampuni yake waliozidi 700 katika matembezi ya kusherekea maamuzi ya mahakama kuhusu haki za ndoa ya jinsia moja....
View ArticleTRENI YA MWAKYEMBE ILIPATA AJALI ASUBUHI YA LEO.....HUDUMA YA TRENI KESHO HAIPO
Leo mnamo saa 11:30 asubuhi vichwa viwili vya treni ya huduma la jiji la Dar es Salaam vilipata ajali ya kugongwa na roli la mizigo aina ya Fusso katika makutano ya reli na barabara ya Kawawa jijini...
View ArticlePICHA ZA RAIS OBAMA ALIPOTUA KATIKA ARDHI YA TANZANIA
Rais Baraka Obama akicheza ngoma alipokua akipita kwenye moja ya vikundi vya ngoma za asili vilivyokua vikitumbuiza kwa ajli ya ujio wake mara tu aliposhuka kutoka kwenye ndege ya Airforce One...
View ArticleVIDEO NZIMA YA OBAMA ALIPOTUA NCHINI TANZANIA.....
Hii ni video kamili ya Rais Obama akitua katika ardhi ya Tanzania na kupokelewa na mwenyeji wake,Rais Jakaya Kikwete <!-- adsense -->
View ArticleTANZANIA YAUMBULIWA....GAZETI MAARUFU LA MAREKANI LAANIKA UKATILI UNAOTENDEKA...
<!-- adsense --> Tanzania imekosolewa na gazeti maarufu la Marekani wakati Rais Obama akipokewa kwa nderemo na vifijo. Gazeti hilo maarufu nchini Marekani la The New York Times,...
View ArticleGEORGE BUSH NA OBAMA WATAKUTANA ANA KWA ANA KATIKA ARDHI YA TANZANIA LEO
Rais wa Marekani, Barack Obama na mtangulizi wake, George W. Bush, leo wanakutana ana kwa ana kwenye ardhi ya Tanzania watakapoweka mashada kwenye Ubalozi wa zamani wa Marekani uliolipuliwa mwaka 1998....
View ArticleMAREKANI KUFUNGUA UKURASA MPYA KATIKA UWEKEZAJI BARANI AFRIKA
Serikali ya Marekani imeahidi kufungua ukurasa mpya kwa Nchi za Afrika Mashariki kwa kuongeza uwekezaji katika sekta mbalimbali ili kuinua uchumi wan chi hizo. Kauli hiyo ilitolewa jana mjini Dar es...
View ArticleMFALME MSWATI WA SWAZILAND AAONDOKA NCHINI NA AMEWATAKA WATANZANIA WABADILIKE
Mfalme Mswati wa Swaziland akisindikizwa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipoondoka kwenye uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam kurejea nyumbani baada ya kufungua...
View ArticleMAHAKAMA YAWATIA MBARONI WAPENZI WAWILI WALIOAMUA KUTALII WAKIWA UCHI
Njemba moja, Stephen Gough aliyewahi kuwa mwanajeshi amekamatwa na polisi katika Jiji la Portsmouth, Uingereza baada ya kukutwa na mpenzi wake wakidunda kutalii mitaani wakiwa uchi wa nyama. Mwanamke...
View ArticleNANDO WA TANZANIA APENDEKEZWA KUTOKA NDANI YA JUMBA LA BIG BROTHER...KURA...
Mchezo unazidi kuwa mgumu kadri siku zinavyozidi kwenda sababu idadi ya wanaopaswa kuendelea na mchezo ndivyo inavyohitajika kuwa ndogo mpaka siku ya 91 atakapobaki mtu mmoja wa kukabidhiwa $300,000...
View ArticleMAZISHI YA MANDELA YAGOMBANIWA NA VYOMBO VYA HABARI PINDI ATAKAPOFARIKI
Mashirika makubwa ya habari ulimwenguni, yapo kwenye vita nzito ya kugombea hakimiliki ya mazishi ya Rais Mstaafu wa Afrika Kusini, Nelson Rolinhlala Mandela ‘Madiba’ Shirika la Habari la Afrika Kusini...
View ArticleKWA HERI BARACK ABAMA....KARIBU TENA NA SAFARI NJEMA
Rais Barack Obama wa Marekani ameondoka nchini mchana huu kurudi nchini Marekani,baada ya kumaliza ziara yake ya siku mbili hapa nchini iliyoanza jana.... Rais Obama na mwenyezi wake Rais Jakaka...
View ArticleHAYA NDO MAMILIONI YA PESA ALIYOINGIZA DIAMOND KWENYE SHOW ZA MWEZI ULIOPITA...
Staa wa Kesho, Diamond ameendelea kupiga hela kwa show nyingi zinazomfuata kila kukicha. Wingi wa show hizi unazidi kumfanya kuwa miongoni mwa wasanii wachache wa Tanzania wenye pesa nyingi zaidi....
View ArticlePICHA ZA GEORGE BUSH ALIPOKUTANA NA RAIS OBAMA TANZANIA KABLA HAJAONDOKA
Rais Obama pamoja na Bush walikutana leo Asubuhi katika Ubalozi wa Marekani uliopo jijini Dar es Salaam na kufanya tendo la kutoa heshima zao kwa Walipoteza Maisha pamoja na wale wote walioathirika...
View ArticleGEORGE BUSH AMESHAANZA KAZI YAKE ILIYOMLETA... ...MKUTANO WA WAKE WA MARAIS...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Rais Mstaafu wa Marekani Mhe George W. Bush na Mkewe Laura na Mama Salma Kikwete wakati wa ufunguzi wa mkutano wa wake wa marais wa Afrika Mashariki leo July 2, 2013...
View ArticleMCHUNGAJI WA KANISA LA EAGT JIJINI MBEYA AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIAKA 30 NA...
MCHUNGAJI wa Kanisa la Evangelical Assemblies of God of Tanzania(EAGT) la Iwambi Jijini Mbeya Daniel Mwasumbi amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela na viboko 12 baada ya kukutwa na makosa mawili ya...
View ArticleFEZA KESSY AENDEKEZA TABIA YA KUPIGWA DENDA NDANI YA JUMBA LA BIG BROTHER
Mshiriki wa Botswana, Oneal ameendeleea kuyafaidi mate ya dada yetu ambapo wakati huu jamaa huyo aliamua kupiga magoti wakati akimwaga "sera za nguvu" kwa Feza na kumwambia kuwa maisha...
View ArticleWATUHUMIWA WA MAUAJI YA MWANGOSI WAACHIWA HURU
Na Gustav Chahe, Mufindi( Kamanda wa matukio) MAHAKAMA ya Wilaya ya Mufindi imetupilia mbali mashtaka yaliyokuwa yakiwakabili Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Hamad...
View Article