Mshiriki wa Botswana, Oneal ameendeleea kuyafaidi mate ya dada yetu ambapo wakati huu jamaa huyo aliamua
kupiga magoti wakati akimwaga "sera za nguvu" kwa Feza na kumwambia kuwa
maisha yake yalikuwa shagala bagala kabla hajakutana na mwakilishi huyo
wa Tanzania.
Maneno hayo matamu yalimwingia vyema Feza ambaye alikuwa akitabasamu
muda wote kuashiria upendo mzito kwa
↧