MCHUNGAJI
wa Kanisa la Evangelical Assemblies of God of Tanzania(EAGT) la Iwambi
Jijini Mbeya Daniel Mwasumbi amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela na
viboko 12 baada ya kukutwa na makosa mawili ya Kubaka na kumpa mimba
Mwanafunzi wa miaka 19.
Akisoma
hukumu hiyo Hakimu wa mahakama ya Wilaya ya Mbeya Ndugu Gilbert Ndeuruo
amesema Mahakama imemtia hatiani kutokana na ushahidi
↧