Njemba moja, Stephen Gough aliyewahi kuwa mwanajeshi
amekamatwa na polisi katika Jiji la Portsmouth, Uingereza baada ya
kukutwa na mpenzi wake wakidunda kutalii mitaani wakiwa uchi wa nyama.
Mwanamke
Melodine Roberts aliyefuatana naye aliachiwa na polisi kwa kuwa mara
baada ya kuonywa kuacha tabia hiyo, aliacha lakini mpenzi wake huyo
aligoma na hii ni mara ya 14 akifanya hivyo licha
↧