HUU NI UJUMBE WA RAY C AKIWASHUKURU MASHABIKI WAKE KWA KUMUOMBEA MPAKA...
Mwanadada Ray C leo hii kupitia ukurasa wake wa instagram ameachia ujumbe huu kwaajili ya mashabiki zake na kuwashukuru kwa support yao.<!-- adsense -->
View ArticleMTOTO WA MIEZI MINNE ATUPWA AKIWA HAI MAENEO YA BAMAGA
Huyu ndiye malaika wa Mungu aliyetelekezwa maeneo ya bamaga nje ya chuo cha ustawi wa jamii karibu na TBC hapa akiwa amebebwa na mmoja wa mfanyakazi wa ITV baada ya wasamaria wema kumleta ITV......
View ArticleYALIYOJIRI KATIKA MKUTANO WA GEORGE BUSH NA WAKE WA MARAIS
Rais Jakaya Kikwete akiwa na Mke wake Mama Salma Kikwete wakizungumza na Rais Mstaafu wa Marekani Mheshimiwa George Bush wakati wa kikao cha wake wa Marais wa Afrika kinachofanyika katika hoteli ya...
View ArticleOBAMA AWAOMBA RADHI WANANCHI WALIOKOSA KUMWONA BARABARANI...
Kana kwamba alisikia kilio cha wakazi wa Dar es Salaam waliokuwa na shauku ya kumwona lakini ikashindikana, Rais Barack Obama wa Marekani amewaomba radhi kwa hali hiyo. Akizungumza juzi wakati wa...
View Article"NAWACHUKIA SANA WASANII WA BONGO MOVIE MAANA NI WEZI WA WAUME ZA WATU"...AMANDA
MSANII wa filamu za Kibongo, Tamrina Poshi ‘Amanda’ amesema anawachukia sana wasanii wa kike wa Bongo Movie kutokana na tabia zao za kuchukuliana mabwana. Amanda alisema wasanii wengi wa filamu wana...
View Article"NIMETEMBEA KWA WAGANGA WA KIENYEJI NA KUGUNDUA KUWA MTU ALIYENIROGA NI...
Makubwa yameibuka baada ya msanii Steven Mengere ‘Steve Nyerere’, kufungua kinywa na kusema kuwa ugonjwa wake si bure bali amepigwa kipapai. Akizungumza na mwandishi wetu,Steve alisema kuwa...
View ArticleTUKIO LA KUBAKWA KWA MSANII MAARUFU WA BONGO MOVIE....
Kuna habari mbaya ambazo zilianza kusambaa mtandaoni jana.Habari hizo zinazomhusu msanii maarufu wa bongo movie ambaye anadaiwa kubakwa (Mtungo ) na wanaume kadhaa. Habari hizo...
View Article"KAMA BABA YAKO ANGEKUWA NI SHOGA, WEWE BARACK OBAMA USINGEZALIWA"...HII NI...
Akiwa nchini Senegal,Rais Obama alinukuliwa na vyombo vya habari akiyasisitiza mataifa ya afrika kuhusu kutambua uwepo wa MASHOGA na kwamba haki zao za msingi ni lazima...
View ArticleMAMA WA MIAKA 52 AKAMATWA KWENYE CHUMBA CHA MTIHANI AKIMFANYIA MTIHANI BINTI...
Mwanamke mmoja mfaransa (52) amejikuta mikononi mwa polisi wa jiji la Paris katikati ya mwezi june, baada ya kukamatwa kwenye chumba cha mtihani akimfanyia mtihani wa Kiingereza mwanae mwenye umri wa...
View Article"SUGU AMESAFISHWA KWA KUMTUKANA WAZIRI MKUU. FIKIRIA TUSI HILO LINGETOKA KWA...
KILA mtu anajua kuwa sheria na haki ni vitu viwili tofauti. Usilazimishe kupata haki, kwasababu sheria imeonyesha juu ya madai yako. Kufanya hivyo ni kujipotezea muda wako unaoweza kuutumia katika kazi...
View ArticleMACHANGUDOA WAULAANI UJIO WA OBAMA....WANADAI HAUKUWA NA PESA IKILINGANISHWA...
Katika hali ilisiyokuwa ya kawaida, machangudoa wameulalamikia ujio wa Rais Barack Obama kwa kile kinachodaiwa kuwa haukuwa na faida yoyote kwa kukosa dili za pesa. " Tumesikitishwa sana na ujio wa...
View Article"GEREZANI KUMENIFANYA NIMJUE MUNGU VIZURI SANA"....HII NI INTERVIEW YA LULU...
<!-- adsense --> Kwa mara ya kwanza muigizaji wa filamu, Elizabeth Michael aka Lulu jana alifanya interview ya kwanza tangu atoke gerezani January mwaka huu. Lulu aliye na muonekano wa ‘udada’...
View ArticleMAHAKAMA YAWAACHIA HURU VIONGOZI WA CHADEMA BAADA YA MWIGULU NCHEMBA...
Mwita Waitara Mahakama ya Hakimu Mkazi Mjini Singida jana imetupilia mbali kesi iliyokuwa inawakabali viongozi wawili wa CHADEMA Ndugu Mwita Waitara ambaye ni afisa sera na utafiti makao makuu na...
View ArticleAJALI ZAENDELEA KUTUMALIZA WATANZANIA.....TUNAOMBA RADHI KWA PICHA
Ajali hii ilitokea jana jioni tarehe 02/07/2013, baada ya gari dogo lililokuwa linatokea maeneo ya Ubungo kwenda uelekeo wa Buguruni kumgonga mwenda kwa miguu aliyekuwa anavuka barabara katika maeneo...
View ArticleMFANYABIASHARA AWAGONGA NA GARI WATU 6.....KISA NI WIVU WA MAPENZI
Watu sita wamejeruhiwa vibaya ikiwemo kuvunjika baadhi ya sehemu mbalimbali za mwili huku mmoja wao akiwa amelazwa katika chumba cha wagonjwa mahututi katika hospitali ya taifa ya Muhimbili baada...
View ArticleJESHI LA MISRI LAMUONDOA MADARAKANI RAISI MOHAMMED MORSI
jeshi nchini Misri limemuondoa madarakani Rais aliyechaguliwa kwa njia ya kidemokrasia nchini humo Mohamed Morsi na imemteuwa kiongozi wa muda wa nchi baada ya maandamano makubwa yanayoipinga...
View ArticleSHILOLE ATINGA DUKANI HUKO MAREKANI AKIWA NA TAULO TU...
MSANII wa filamu na muziki Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ ametoa kali ya mwaka baada ya kunaswa akiingia ‘supermarket’ akiwa ametinga taulo. Tukio hilo lilitokea hivi karibuni katika mji wa Maryland...
View ArticleWANASHERIA WA ETHIOPIA WAAPA KUMSHITAKI BETTY KWA KUFANYA NGONO NDANI YA...
Wakati baadhi ya watanzania wakifurahia madudu ya washiriki wetu ndani ya jumba la Big Brother, wenzetu wa Ethiopia wameanza kuchukua hatua stahiki dhidi ya mshiriki wao...
View ArticleUWOYA AJICHORA MAKANYAGIO YA MWANAE MGOGONI
Staa wa muvi za Bongo, Irene Pancras Uwoya ameonesha upendo wake kwa mwanaye Krrish Ndikumana kwa kujichora ‘tatuu’ mgongoni yenye nyayo (makanyagio) ya mtoto huyo na kuzisindikiza na jina lake kwa...
View ArticleKWA MARA YA KWANZA RUNINGA NCHINI UINGEREZA ITARUSHA ADHANA YA ASUBUHI
Ukiwa unakaribia mwezi mtukufu wa Ramadhani, kwa mara ya kwanza kabisa chaneli ya 4 ya televisheni ya nchini Uingereza itakuwa ikirusha hewani moja kwa moja adhana ya sala ya asubuhi.Justine Bower...
View Article