jeshi nchini Misri limemuondoa
madarakani Rais aliyechaguliwa kwa njia ya kidemokrasia nchini humo
Mohamed Morsi na imemteuwa kiongozi wa muda wa nchi baada ya maandamano
makubwa yanayoipinga serikali.Akihutubia
kwa njia ya televisheni jumatano jioni, mkuu wa jeshi, Abdul Fatah
Khalil Al-Sisi alisema katiba ya Misri imesitishwa kwa muda na mkuu wa
mahakama ya katiba ameteuliwa kuwa
↧