Kana kwamba alisikia kilio cha
wakazi wa Dar es Salaam waliokuwa na shauku ya kumwona lakini
ikashindikana, Rais Barack Obama wa Marekani amewaomba radhi kwa hali
hiyo.
Akizungumza
juzi wakati wa dhifa iliyoandaliwa kwa ajili yake na ujumbe wake na
Rais Jakaya Kikwete katika Ikulu ya Dar es Salaam, Obama alisema akirudi
nchini siku zijazo, atapita mitaani akiwa katika gari
↧