MSANII wa filamu za Kibongo, Tamrina Poshi ‘Amanda’ amesema anawachukia
sana wasanii wa kike wa Bongo Movie kutokana na tabia zao za
kuchukuliana mabwana.
Amanda alisema wasanii wengi wa filamu wana tabia za kuibiana mabwana
kitendo ambacho kinamkera na kusababisha kuwachukia kwani wanavyofanya
siyo heshima na inawaharibia sifa kwa jamii pamoja na kuichafua tasnia
yao kwa jumla.
“
↧