Mwita Waitara
Mahakama
ya Hakimu Mkazi Mjini Singida jana imetupilia mbali kesi iliyokuwa
inawakabali viongozi wawili wa CHADEMA Ndugu Mwita Waitara ambaye ni
afisa sera na utafiti makao makuu na mshauri wa chama hicho Dk Kitila
Mkumbo.
Katika hukumu yake aliyeiyosoma mbele ya wakili wa washtakiwa hao
Tundu Lissu, hakimu wa Mahakama hiyo Masham alisema kuwa washatakiwa
hawana kesi
↧