Ukiwa unakaribia mwezi mtukufu wa Ramadhani, kwa mara ya kwanza kabisa
chaneli ya 4 ya televisheni ya nchini Uingereza itakuwa ikirusha hewani
moja kwa moja adhana ya sala ya asubuhi.Justine Bower mkurugenzi
wa masuala ya umma wa chaneli ya 4 ya televisheni ya nchi hiyo amesema
kuwa, kanali hiyo itakuwa ikirusha moja kwa moja adhana ya asubuhi kwa
ajili ya wananchi wa Uingereza.
Ameongeza
↧