Staa wa muvi za Bongo, Irene Pancras Uwoya ameonesha upendo wake kwa
mwanaye Krrish Ndikumana kwa kujichora ‘tatuu’ mgongoni yenye nyayo
(makanyagio) ya mtoto huyo na kuzisindikiza na jina lake kwa juu.
Baada
ya mchoro huo kukamilika, Uwoya aliitumbukiza kwenye mtandao wake wa
kijamiii wa Facebook na kutazamwa na watu kibao ambao waliipenda.
Hata
hivyo, baadhi ya watu waliozungumza
↧