Hapa ni wakati Jokate alipoamua kukaa na Mpeka kistaarabu kuongea nae kabla ya hatua za kisheria
Message alizotumia watu kwenye facebook na msg za simu za mkononi.
Aliyefanikisha huyu jamaa kukamatwa ni mrembo mmoja model Blessing ambae
alishiriki Miss Morogoro 2013 ambapo namkariri akisema:
“Wiki mbili zilizopita
nilipata msg kwamba Kidoti hair na Mzinga Planet wanahitaji
↧