MWANAUME ALIYEKUWA AKIJIFANYA NI " JOKATE MWEGELO" HUKO FACEBOOK AKAMATWA NA...
Hapa ni wakati Jokate alipoamua kukaa na Mpeka kistaarabu kuongea nae kabla ya hatua za kisheria Message alizotumia watu kwenye facebook na msg za simu za mkononi. Aliyefanikisha huyu jamaa...
View ArticleBOMOA BOMOA YA POMBE MAGUFULI YAANZA.....JENGO LA BUSINESS PARK ( GREEN ACRES...
Baada Waziri wa Ujenzi, Pombe Magufuli kutoa maagizo kwa wenye majengo yaliyo pembezoni mwa barabara ya Ali Hassan Mwinyi, kubomoa wenyewe majengo yao ili kupisha upanuzi wa barabara hiyo, kuonekana...
View ArticleFBI WAINGIA ARUSHA KUCHUNGUZA BOMU LA SOWETO
Askari wa Shirika la Upelelezi la Marekani (FBI), tayari wapo Arusha kushirikiana na polisi ili kuchunguza tukio la mlipuko wa bomu la kutupa kwa mkono kwenye mkutano wa kampeni za Chadema. Katika...
View Article"WIMBO WA MAJANGA UMENIPA DILI LA KUREKODI MOVIE AFRIKA KUSINI "– SNURA.
MWIGIZAJI wa kike na mwimbaji wa muziki wa kizazi kipya Snura Mushi amedai kuwa muziki ulimpa dili ya kwenda kurekodi filamu Afrika ya Kusini... Anasema kuwa dili hilo amelipata kutokana na kufanya...
View ArticleSH. 500/- SASA ITAKUWA SARAFU BADALA YA NOTI ILI KUIFANYA ISICHAKAE HARAKA
KUTOKANA na kuchakaa haraka kwa noti ya shilingi 500 na kiwango chake kudumu kwenye mzunguko kwa miezi sita tu, Benki Kuu ya Tanzania (BoT), imesema inatarajia kubadili noti hiyo na kuwa ya...
View ArticleWAZIRI MAGUFULI ATAMANI KUWA RAIS WA TANZANIA......ANADAI KWAMBA YUPO TAYARI...
Katika hali inayoonyesha kuwa Waziri wa Ujenzi, Dk. John Magufuli, anautamani urais, amesema anaweza kutangaza nia hiyo kama atakidhi masharti yatakayowekwa kwenye Katiba mpya. Alisema iwapo Katiba...
View Article"MWANAUME ASIYE NA PESA HAPASWI KUWA NA WIVU KWA MPENZI WAKE"....JINI KABULA
MSANII wa filamu za Bongo, Miriam Jolwa ‘Kabula’ ameonesha kukerwa na wanaume ambao hawana hela lakini wamekuwa wakijifanya wanajua kupenda sana huku wakiwa na wivu kupitiliza. Akiongea na...
View ArticlePICHA CHAFU ZA MISS UNIZIK ZASAMBAA MITANDAONI....
<!-- adsense --> Vituko vya mapenzi ya Tz kumbe hata nchi za nje vipo..!! Huyu ni denti wa chuo kikuu cha UNIZIK kilichoko Nigeria ambaye pia ni miss UNIZIK 2013/2014.......
View ArticlePICHA ZA LAANA ZA KUNDI LA BAIKOKO - TANGA
Hizi ni baadhi ya picha za kundi la wacheza uchi / nusu uchi maarufu kwa jina la Baikoko lenye maskani yake Tanga.... <!-- adsense -->
View ArticleLOWASSA AVIONYA VYOMBO VYA DOLA...!
WAZIRI Mkuu mstaafu, Edward Lowassa amevitaka vyombo vya dola na wafanyabiashara wakubwa nchini, kujenga mahusiano bora kati yao na wafanyabiashara ndogo ndogo (Machinga) ili kuondoa tabaka la matajiri...
View ArticleMCHUNGAJI " MASANJA MKANDAMIZAJI" APATA NAFASI YA KUHUBIRI NENO LA MUNGU...
Mtumishi wa Mungu Emmanuel Mgaya (Masanja Mkandamizaji) ambaye yuko nchini Marekani kwa ziara maalum, atahudumu kwa waumini wa jiji la Washington DC na vitongoji vyake siku ya kesho (Jumapili...
View ArticleNELSON MANDELA YUKO KATIKA HALI YA "USINGIZI WA KUDUMU"....NYARAKA ZAFICHUKA
Nelson Mandela ameendelea kuwekwa hai kwa msaada wa mashine za kumsaidia kupumua na 'anakaribia kifo,' nyaraka za mahakama zimefichua. Afya ya rais huyo wa zamani ni 'yenye hatari kubwa,' kwa mujibu...
View ArticleWAZAZI WAUA MTOTO WAKIGOMBANIA CD YA MSANII "DIAMOND"
Vilio na simanzi vilitanda Jumatano iliyopita Mwananyamala Kisiwani, jijini Dar kufuatia mtoto wa mwaka mmoja, Rahim Rajab kufariki dunia kwa kuangukiwa na watu watatu, akiwemo baba yake mzazi,...
View ArticleWAKAZI AMJIBU TID BAADA YA KUMPONDA NA KUDAI ATAIMBA WIMBO GANI BIG BROTHER??
Rapper Webiro Wassira aka Wakazi amefunguka kuwa kitendo cha TID kumdiss kuwa haoni wimbo atakoutumbuiza kesho kwenye eviction show ya Big Brother Africa The Chase kinaonesha kuwa staa huyo wa ‘Kiuno’...
View ArticleVIDEO MPYA YA BOB JUNIOR "KIMBIJI" ALIYOWAHI TOA VIPANDE AKISULUBIWA KARIAKOO
Hii ni video mpya ya Bob Junior Sharobaro president inayokwenda kwa jina la Kimbiji. Bob Junior aliwahi kutoa baadhi ya picha zikionyesha upigaji picha wa video hiyo, hatimaye video imetoka na baadhi...
View ArticleMWANACHUO WA MWAKA WA KWANZA ALAANI KITENDO CHA KUPIGWA "EXILE" NA MADENTI...
Vitendo vya wanafunzi kupigana exile( kumpisha room ili angonoke na mpenzi wake) vimekuwa vikishika kasi ya ajabu katika hosteli za wanafunzi wa vyuo vikuu mbalimbali ambao kwao...
View ArticleBASI LA SUMMRY LAUA WATU 9 NA KUJERUHI 53
Basi la kampuni ya Sumry limetumbukia mtoni na kuua watu tisa na kujeruhi wengine hamsini na tatu. Ajali hiyo imetokea katika kijiji cha Sitalike wilaya ya Mlele mkoani Katavi Tukio hilo la kusikitisha...
View ArticleMASANJA MKANDAMIZAJI AFICHUA UBAGUZI WA BANK YA CRDB KATIKA UTOAJI WA AJIRA
Katika upekuzi wangu , niliamua kumtembelea masanja mkandamizaji kuona alichokandamiza jioni hii... Hii ni post yake facebook iliyofichua UBAGUZI wa bank ya CRDB katika utoaji wa...
View ArticleJANUARY MAKAMBA AWATAKA WANANCHI WAWALAU WABUNGE WAO KUHUSU KODI YA 1000 KWA...
Haya ni majibu ya Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Mh. January Makamba akijibu maswali katika mtandao wa Twitter kuhusu kodi mpya ya TZS 1000 kwa mwezi kwa kila line ya simu....
View ArticleUMAARUFU WA WASANII WENGI WA KIKE UNATOKANA NA SKENDO ZA PICHA CHAFU
NCHI za wenzetu staa kupiga picha za utupu si kitu kigeni lakini Tanzania sheria na maadili ya Mtanzania hayaruhusu kufanya hivyo. Pamoja na sheria kutoruhusu, wasanii wetu hasa wa kike wamekuwa...
View Article