Rapper Webiro Wassira aka Wakazi amefunguka kuwa
kitendo cha TID kumdiss kuwa haoni wimbo atakoutumbuiza kesho kwenye
eviction show ya Big Brother Africa The Chase kinaonesha kuwa staa huyo
wa ‘Kiuno’ hajui anachokiongea.
Jana kupitia Twitter, TID aliandika: Wakazi ataimba wimbo gani,
anaenda kuonyesha kofia zake za marekani#mzeekasema#radarworththisshit
#watuwabaya#msiwemaf**a.
↧