Askari
wa Shirika la Upelelezi la Marekani (FBI), tayari wapo Arusha
kushirikiana na polisi ili kuchunguza tukio la mlipuko wa bomu la kutupa
kwa mkono kwenye mkutano wa kampeni za Chadema.
Katika
tukio hilo lililotokea Juni 15, mwaka huu Viwanja vya Soweto, eneo la
Kaloleni, Arusha, watu wanne walipoteza maisha huku zaidi ya 60
wakijeruhiwa.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Lebaratus
↧