MWIGIZAJI wa kike na mwimbaji wa muziki wa kizazi kipya Snura Mushi
amedai kuwa muziki ulimpa dili ya kwenda kurekodi filamu Afrika ya
Kusini...
Anasema kuwa dili hilo amelipata kutokana na kufanya vizuri katika muziki hasa nyimbo yake ya
Majanga.
“Filamu kwa sasa inachangamoto sana .Hilo lilinifanya nirudi katika
muziki huku nikichagua filamu za kuigiza na kujikita katika muziki
↧