WAZIRI Mkuu mstaafu, Edward Lowassa amevitaka vyombo vya dola
na wafanyabiashara wakubwa nchini, kujenga mahusiano bora kati yao na
wafanyabiashara ndogo ndogo (Machinga) ili kuondoa tabaka la matajiri na
masikini linaloweza kuathiri uchumi wa taifa.
Lowassa
aliyasema hayo jana wakati akizungumza na machinga wa eneo la Makoroboi
jijini Mwanza, ambao pamoja na mambo mengine
↧