Mtumishi
wa Mungu Emmanuel Mgaya (Masanja Mkandamizaji) ambaye yuko nchini
Marekani kwa ziara maalum, atahudumu kwa waumini wa jiji la Washington
DC na vitongoji vyake siku ya kesho (Jumapili 07/07/2013)
Bwana Mgaya
ambaye pia hufahamika kama Mchungaji Mtarajiwa na ambaye amekuwa
akifanya huduma ya uhubiri nchini Tanzania, atahubiri katika ibada ya
jumapili katika kanisa la THE WAY
↧