Vitendo vya wanafunzi kupigana exile( kumpisha room ili angonoke na mpenzi wake) vimekuwa vikishika kasi ya ajabu katika hosteli za wanafunzi wa vyuo vikuu mbalimbali ambao kwao limekuwa ni jambo la kawaida...!!
Hali imekuwa ni tofauti kidogo kwa mwanafunzi wa chuo kimoja hapa nchini ambaye yuko mwaka wa kwanza na anategemea kuingia mwaka wa pili.
↧