<!-- adsense -->
Vituko vya mapenzi ya Tz kumbe hata nchi za nje vipo..!!
Huyu ni denti wa chuo kikuu cha UNIZIK kilichoko Nigeria ambaye pia ni miss UNIZIK 2013/2014....
Mrembo huyu amekutana na balaa hili baada ya mpenzi wake kuzisambaza picha zake za utupu....
Taarifa toka chuoni hapo zinadai kuwa, wapenzi hao walizunguana siku kadhaa
↧