KILA
mtu anajua kuwa sheria na haki ni vitu viwili tofauti. Usilazimishe
kupata haki, kwasababu sheria imeonyesha juu ya madai yako. Kufanya hivyo ni kujipotezea muda wako unaoweza kuutumia katika kazi nyingine za maendeleo yako.
Pamoja
na yote hayo, lakini wakati mwingine si sahihi kujificha kwenye mhimili
wa kisheria kwa kufanya mambo ambayo ni tofauti katika jamii. Kila mmoja
↧