Mwanamke mmoja mfaransa (52) amejikuta mikononi mwa polisi
wa jiji la Paris katikati ya mwezi june, baada ya kukamatwa kwenye chumba cha
mtihani akimfanyia mtihani wa Kiingereza mwanae mwenye umri wa miaka 19, huku
akijiweka kisichana zaidi wasimshutukie.
Ripoti kutoka nchini humo zinasema mwanamke huyo
aliyejulikana kwa jina la Caroline D aliingia kwenye chumba cha mtihani akiwa
↧