Akiwa nchini Senegal,Rais Obama alinukuliwa na vyombo vya habari akiyasisitiza mataifa ya afrika kuhusu kutambua uwepo wa MASHOGA na kwamba haki zao za msingi ni lazima ziheshimiwe...
Kauli hiyo imewachefua wengi hasa viongozi wa dini nchini Kenya .
Jana, kiongozi wa kiislamu alimuuliza obama swali gumu sana kwamba "Atajisikiaje endapo atabaini
↧