Kuna habari mbaya ambazo zilianza kusambaa mtandaoni jana.Habari hizo zinazomhusu msanii maarufu wa bongo movie ambaye anadaiwa kubakwa (Mtungo ) na wanaume kadhaa.
Habari hizo zinadai kuwa, Msanii huyo wa kike mwenye jina kubwa hapa nchini alikutwa na balaa hilo baada ya kuwachanganya kimapenzi washikaji wawili ambao ni kama marafiki na hivyo
↧