Katika hali ilisiyokuwa ya kawaida, machangudoa wameulalamikia ujio wa Rais Barack
Obama kwa kile kinachodaiwa kuwa haukuwa na faida yoyote kwa kukosa dili za
pesa.
" Tumesikitishwa sana na ujio wa Obama kwani tulikuwa tumejipanga
kupiga hela ndefu sana .
"Bahati mbaya watu wake tuliokuwa
tunategemea kuwanasa walikuwa busy na wale wa mikoani walizuiwa" Walisema akina dada
↧