Staa wa Kesho, Diamond ameendelea kupiga hela kwa show nyingi
zinazomfuata kila kukicha. Wingi wa show hizi unazidi kumfanya kuwa
miongoni mwa wasanii wachache wa Tanzania wenye pesa nyingi zaidi.
Tumejaribu kuangalia baadhi ya show alizofanya mwezi huu, atakazofanya
mwishoni mwa mwezi huu na mwezi ujao ili kukadiria ni kiasi gani anaweza
kuwa ameingiza. Baadhi ya show tunafahamu ni
↧