Mashirika makubwa ya habari ulimwenguni, yapo kwenye vita nzito ya
kugombea hakimiliki ya mazishi ya Rais Mstaafu wa Afrika Kusini, Nelson
Rolinhlala Mandela ‘Madiba’
Shirika la Habari la Afrika Kusini (SABC), kwa sasa lipo kwenye mzozo
na lile la Uingereza (BBC), mvutano uliopo unahusu chombo chenye haki
ya kuwa cha kwanza kutangaza taarifa zote zitakazohusu mazishi ya Mzee
Madiba.
↧