Leo
mnamo saa 11:30 asubuhi vichwa viwili vya treni ya huduma la jiji la
Dar es Salaam vilipata ajali ya kugongwa na roli la mizigo aina ya Fusso
katika makutano ya reli na barabara ya Kawawa jijini Dar es salaam ,
katika jali hiyo dereva wa Fusso alifariki duniani papohapo hata hivyo
Utingo wake alinusurika.
Hata
hivyo vichwa hivyo vya treni vilipata mkosi tena wa ajali ambapo
↧