VIDEO YA WEMA SEPETU AKIWAPOROMOSHEA MATUSI MAZITO WAFANYAKAZI WAKE WA NDANI
STAA wa filamu za Kibongo asiyekaukiwa vimbwanga, Wema Isaac Sepetu amezua bonge la timbwili kwa wafanyakazi wake wa ndani wa kiume na kike akiwemo mlinzi. Tukio hilo lililonaswa na vifaa vyetu vya...
View ArticleCHUO KIKUU HURIA TANZANIA KITAMTUNUKU PhD RAIS OBAMA
Chuo Kikuu Huria Tanzania (OUT),kimepanga kumtunuku Rais wa Marekani, Barack Obama Shahada ya Heshima ya Uzamivu kwa kutambua mchango wake kwa jamii husasani kwenye maendeleo ya kukuza uchumi....
View ArticleBABY MADAHA ALIZWA NGUO ZAKE ZA NDANI....
KATIKA hali ya kushangaza, msanii wa filamu na muziki Baby Joseph Madaha amejikuta katika wakati mgumu baada ya kuibiwa nguo zake za ndani alizokuwa ameanika nje maeneo ya Mikocheni jijini Dar. Chanzo...
View ArticleSAKATA LA BINTI ALIYEJIFUNGULIA BARABARANI MKOANI MOROGORO
BINTI mmoja aitwaye Josephine Michael mkazi wa Kijiji cha Kiegea nje kidogo ya Manispaa ya Morogoro, Jumatano iliyopita alijifungua barabarani wakati akikimbizwa hospitalini kwa kutumia usafiri wa...
View ArticleNAIBU MKURUGENZI WA CUF ATEKWA NA WANAUSALAMA HUKO MTWARA
Naibu Mkurugenzi wa Oganaizesheni Uchaguzi na Bunge wa Chama Cha Wananchi CUF - Shaweji Mketo ametekwa na wanausalama na wanajeshi waliopiga kambi Mtwara MJINI.Mketo alienda Mtwara MJINI jana na Leo...
View ArticleMAMIA NCHINI AFRIKA KUSINI WAJITOKEZA KATIKA MAANDAMANO YA AMANI YA KUPINGA...
Waandamanaji Nchini Afrika Kusini wakiwa wamebeba mabango yanayopinga kuja Kwa Raisi Obama nchini Humo wakati wa maandamano ya Amani ya Kupinga Kuja Kwa Obama Katika Jiji la Pretoria Nchini Afrika...
View ArticleDPP ASHINDWA KUMSHITAKI SUGU KUTOKANA NA MAPUNGUFU YA HATI YA MASHITAKA........
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Dodoma Mjini, jana ilimuachia huru Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi (41), maarufu kama Sugu aliyefikishwa mahakamani kwa kosa la kutumia lugha ya matusi dhidi ya Waziri...
View ArticleNAY WA MITEGO AMPARAMIA PANCHO NA KUDAI NI SHOGA BAADA YA KUTOBOA JICHO LAKE...
Kuna beef la chini chini kati ya Pancho na Nay wa Mitego baada ya Nay kudai kuwa Pancho ni SHOGA...!! Madai ya ushoga yameibuka baada Linah kuweka picha akiwa na Pancho...
View ArticleHUYU NDO MSANII WA BONGO MOVIE ANAYEDAI KUWA YEYE NI BIKRA NA HAMJUI MWANAUME
Mwigizaji wa kike anayetesa katika tasnia ya filamu Bongo Diana Rose kimaro ‘Diana’ amedai kuwa hana mahusiano ya kimapenzi na mwanaume yoyote na wala hafikirii kuwa na Boyfriend kwani yeye bado ni...
View ArticleJACK WOLPER ADAI KUWA ANAPENDA KUTEMBEA NA "SERENGETI BOYS" KWA SABABU...
Nyota wa tasnia ya filamu , Jaqueline Wolper ‘Wolper Gambe’ amedai kuwa hawapendi sana wanaume wenye fedha kwani wengi wao ni waume za watu... Wolper anadai kuwa nao si rahisi kuonyeshwa mapenzi yao ya...
View ArticleVIDEO YA RAIS KIKWETE AKIONGELEA SABABU ZA OBAMA KUJA TANZANIA
Ubalozi wa Tanzania London ukishirikiana na Urban Pulse na Freddy Macha wakuletea video fupi ya Mheshimiwa Rais Jakaya Kikwete akizungumzia ziara ya Rais Barack Obama, alipokuwa Uingereza...
View ArticleMIZENGO PINDA AIPIGILIA MISUMARI KAULI YAKE...ADAI KUWA SERIKALI...
Serikali imesisitiza kuwa haitavumilia kuona baadhi ya watu wanaendelea kupanda mbegu za chuki za kidini na kisiasa miongoni mwa Watanzania na imesisitiza kuchukua hatua bila huruma kuzimaliza njama...
View ArticleKINACHOMFANYA MWANAUME AKOROME NA KULALA BAADA YA TENDO LA NDOA NI MAUMBILE...
Jambo hili huwaacha wanawake wakiwa wamechanganyikiwa na kujiuliza maswali chungu mzima kama kuna mahali wamekosea au hawajawavutia wapenzi wao, pale wenzi wao wanapogeukia upande wa pili na kushikwa...
View ArticleMAOFISA WA MAREKANI WADAI KUWA WAO NDO WATAPANGA MAWAZIRI WA TANZANIA...
Wakati magari 150 ya msafara wa ziara ya Rais Barack Obama yamewasili nchini, majina ya mawaziri wa Tanzania yatakayoruhusiwa kumpokea kiongozi huyo kuchujwa na makachero wa FBI. Mkurugenzi wa Uwanja...
View ArticleDOKII ATOA WIMBO WA KUMKARIBISHA OBAMA TANZANIA....
Nyimbo iliyoimbwa na Dokii yenye maadhi ya kiafrika inayo mkaribisha rais Obama. jina la wimbo OBAMA WELCOME TANZANIA<!-- adsense -->
View ArticleOBAMA ATOA SABABU ZILIZOMFANYA ASIENDE KENYA KWA SASA... SABABU KUBWA NI KESI...
US President Barack Obama said Saturday the “timing was not right” for him to travel to Kenya, his father’s homeland, during his current Africa tour, but he expected to go there many times in the...
View ArticleDIVA WA CLOUDS FM AMVAA TENA HUDDAH....KISA NI PENZI LA PREZZO
Kama utakua ni muumini wa twitter lazima utakuwa unajua kinachoendelea kati ya mshiriki wa BBA kutoka Kenya (2013), Huddah na mtangazaji Diva Loveness love. kiufupi ni bif kupitia twitter kisa kikiwa...
View ArticleSUMAYE AWAASA VIJANA KULINDA TAIFA LAO NA WASIKUBALI KUNUNULIWA MWAKA 2015
WAZIRI Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye ametaka vijana kusimama imara kulinda na kulijenga taifa lao. Alisitiza maendeleo ya taifa hili, katu hayataweza kusonga mbele, kama viongozi wake wataendelea...
View ArticleSERIKALI YASHUSHA USHURU WA PETROLI....USHURU WA SIMU WAFUTWA
MFUMO mpya wa Bunge kuanza na bajeti za kisekta na kumalizia na Bajeti ya Serikali pamoja na uundwaji wa Kamati ya Bajeti, umeonesha makali yake kiasi na kuilazimisha Serikali, kushusha kodi ya petroli...
View ArticleNIKKI LEE: MWANAMKE ALIYEFANYA MAPENZI NA WANAUME 5000 NDANI YA MIAKA 9
Ukishangaa ya Musa utayaona ya Firauni. Wakati wapo wanawake ambao hawapati salamu barabarani, Nikki Lee, 25 amevunja rekodi baada ya kutimiza idadi ya wanaume 5,000 aliofanya nao ngono.Nikki ambaye...
View Article