WAZIRI Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye ametaka vijana kusimama imara kulinda na kulijenga taifa lao.
Alisitiza maendeleo ya taifa hili, katu hayataweza kusonga mbele,
kama viongozi wake wataendelea kuendeleza vitendo vya rushwa na biashara
ya dawa za kulevya.
Aidha, alisema ataendelea kupiga vita tatizo la rushwa lililopo
nchini, licha ya suala hilo kuonekana kuwa mwiba mchungu kwa
↧