MFUMO mpya wa Bunge kuanza na bajeti za kisekta na kumalizia na
Bajeti ya Serikali pamoja na uundwaji wa Kamati ya Bajeti, umeonesha
makali yake kiasi na kuilazimisha Serikali, kushusha kodi ya petroli na
kufuta ushuru wa kutuma na kupokea fedha kwa njia ya simu.
Kabla ya Serikali kufikia uamuzi huo jana saa sita usiku, Kamati ya
Bunge na wabunge walivutana na Serikali mara kadha wa
↧