Kama utakua ni muumini wa twitter lazima utakuwa unajua kinachoendelea
kati ya mshiriki wa BBA kutoka Kenya (2013), Huddah na mtangazaji Diva
Loveness love.
kiufupi ni bif kupitia twitter kisa kikiwa ni CMB Prezzo
Katika interview iliyofanywa na Huddah, mrembo huyo wa Kenya amesema hana uhusiano na Prezzo,
ni rafiki yake tu, na hana beef yoyote na Diva na kwanza
↧