Naibu
Mkurugenzi wa Oganaizesheni Uchaguzi na Bunge wa Chama Cha Wananchi CUF
- Shaweji Mketo ametekwa na wanausalama na wanajeshi waliopiga kambi
Mtwara MJINI.Mketo alienda Mtwara MJINI jana na Leo asubuhi
alihudhuria mahakamani ambapo kesi ya Mwenyekiti wa vijana CUF taifa
(JUVICUF) Katani Ahmed Katani iliahirishwa.Baada ya ahirisho
hilo, Mketo alikutana na wanachama wa CUF walioko
↧