Waandamanaji
Nchini Afrika Kusini wakiwa wamebeba mabango yanayopinga kuja Kwa Raisi
Obama nchini Humo wakati wa maandamano ya Amani ya Kupinga Kuja Kwa
Obama Katika Jiji la Pretoria Nchini Afrika jana Jioni - Juni 28
Waandamanaji
Nchini Afrika Kusini Wakisali mbele ya Bango linalopinga Kuja kwa Raisi
Obama Nchini Humo wakati Raisi Obama alipotua Nchini Afrika Kusini
Jioni ya jana
↧