MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Dodoma Mjini, jana ilimuachia huru Mbunge wa
Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi (41), maarufu kama Sugu aliyefikishwa
mahakamani kwa kosa la kutumia lugha ya matusi dhidi ya Waziri Mkuu
Mizengo Pinda baada ya hati ya mashtaka kuonesha mapungufu.
Kutokana na uamuzi huo wa Mahakama imeutaka upande wa mashtaka
kurekebisha hati hiyo na kumfikisha tena mshtakiwa
↧